Nos Emissions

magazine_sw

Soumis par derick le ven 28/06/2024 - 19:13

   Société_Goma  
Swali muhimu zenye kuambatana na uchumi wa uma,uongozi wa kisiyasa za eneo mbali mbali pia kuleta ripoti mbali mbali kwa raiya hizo ndizo mada zilizo chambuliwa katika kikao cha kisiyasa kilicho andaliwa na shirika Pole Institute pa Goma.Katika mukutano huwo ,vijana walifunua shida nyingi kuhusu feza za uma kwani mara kwa mara hawahushwe katika uandalizi wa badjeti wa mahali wanamo ishi.