magazine_sw

Soumis par derick le ven 21/06/2024 - 18:23

Politique_Goma

Sehemu ya mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo yaendeleya kukumbwa na vita na wakongomani wengi wapoteza maisha yawo kila leo katika muripuko wa mabomu.Ni miongoni mwa mazara ya vita ambayo yaletwa na Rwanda kupitiya wapiganaji wa M23.Katika mazungumzo na wenzetu waandishi wa habari wa France 24 tarehe 20 juni 2024 ,prezidenti Paul KAGAME alikanusha matshata yote kuhusu yeye kuchangiya katika vita hiyi ya DRC na hata kutihsiya kufanya vita ikiwa hali hiyo itagusa nchi yake.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.