Economie/Masisi
Depuis le Mois de Décembre dernier ; les habitants de plusieurs agglomérations du territoire de Masisi communiquent difficilement avec leurs téléphones, faute de réseau. Ceux de Rubaya, dans la chefferie des Bahunde par exemple, sont obligés de parcourir de longues distances pour prendre les nouvelles de leurs proches qui n’habitent pas la zone.
Economie/Masisi
Tokea mwezi wa Disemba ulio pita,
Wakajai wa eneo mbalimbali za mtaa wa Masisi wana ugumu waku wasiliana kwa njia ya simu na ndguzu zao wanao patikana katika eneo nyingine sababu ya ukosefu wa mtandao. Wale wa Rubaya , katika usultani wa Bahunde kwa mfano wana ji kuta katika shurti yaku tembea mwendo mrefu sana wa mguuu ili ku pata namna yaku pasha habari zao, pia ku chukua habari za ndugu na ma rafiki wao.
SECU/GOMA
Wakazi kadhaa wa Goma wanatoa wito kwa jimùboni na wa mji wa Goma kuzingatia tu kuboresha hali ya usalama ambayo inazidi kuwa mbaya. Wali jieleza siku moja baada ya shambulizi ilio onekana kwenye entrée président , kwenye barabara Goma-SAKE.