![](/sites/default/files/styles/nos_emissions/public/default_images/logo%20pole%20FM.png?itok=6MOh24RT)
HUMANITAIRE
Wataalam wamoja wa haki za wakimbizi wenye kutoka katika nchi za kigeni ndani ya kandaa ya maziwa makuu wanaomba kwa Commission nationale des réfugiés kuidadisha wakimbizi wote wanao patikana DRC ili wahudumiwe vema muda ambao wapatikana inchini. Ni kama vile Pecos KULIHOSHI aliye towa maoni yake kwa hafla ya siku kuu duniani ya wakimbizi walio toka katika nchi za kigeni na wenye kukosa makao. Kulingana naye, shirika lake lina ripoti zinazo towa hesabu ya zaidi ya wakimbizi millioni nne wakati ambapo mashirika HCR na CNR zinaongeleya idadi ya wakimbizi elfu mia tano ishirni pekee. Anajulisha kuwa watu hawa walitokeya Rwanda, Burundi, Uganda, Sudan, Jamhuri ya Afrika ya Kati Angola, Sudan ya Kusini na Ethiopia.
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire