![](/sites/default/files/styles/nos_emissions/public/default_images/logo%20pole%20FM.png?itok=6MOh24RT)
SOCIETE_ROUTE_N02_Invité Swahili
Leo hii, Redio Pole Fm ya mpokea kama mwalikwa wa uhariri, mwana sheria Joseph Byenda Chifuko. Huyu mkurugenzi wa kituo centre de l’environnement minier de la région des Grands Lacs. Pamoja naye Gina Mulumba , ana zungumzia ubovu wa barabara kuu ya taifa nambari mbili inayo unganisha jimbo la kivu ya kusini kwa hili la kivu ya kaskazini, pamoja na ugumu kwa pikipiki, pia gari, ku tembea hapo tokea sasa miaka tatu.
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire