invité_SW

Soumis par derick le sam 29/06/2024 - 18:11

ECONOMIE_GOMA
Prezidenti wa muungano wa wenyeji duka hapa mjini Goma ana alika serkali ya Congo kua na ukarimu mbele ya wenyeji viwanda na duka ndogo ndogo muda huu ambapo jimbo la pitia hali ya vita. Kwake Kembo Amunasi, secta ya biashara ya kumbwa na ugumu sababu yaku koskana kwa wateja kwani wengi miongoni mwao, ni kwa sasa wa hami wa vita. Ali toa pendekezo yake hii aki tumia furs aya siku kuu ulimwenguni ya viwanda vidogo cidogo, na inayo sherekewa tarehe 27 Juni ya kila mwaka. Kembo Amunasi ana kumbusha pia umuhimu waku endesha mara kwa mara vikao vya mazungumuzo kati ya wafanya biashara, na ofisi za serkali zinazo kusanya ushuru ili ku zungumzia namna mbalimbali za unyanyasi ambao endeshwa zidi ya wenyeji duka mjini Goma. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.