CULTURE_Goma
Sur les fronts de la paix ni jina la kitabu cha Séverine Autesserre kilichowasilishwa siku ya tano mbele ya waigizaji wa amani wapatao makumi tatu jimboni Kivu Kaskazini. Wakiwa wamekusanywa na shirika Pole, washiriki katika uwasilishaji wa kitabu hiki wanaeleza wanachofikiria kuhusu kitabu hiki kinacho elezeya sana ujenzi wa amani ya kudumu katika maeneo ya vita kama vile Kivu Kaskazini.
Audio
Ajouter un commentaire