SOCIAL_MANIFESTATION
Wana harakati wa shirika la rahiya hapa Kivu ya kaskazini, pia kundi zimoza za ki rahiya wali andamana barabarani jana juma pili hapa mjini Goma ili ku kataa uvamizi wa jamuhuri ya Rwanda zidi ya Congo DRC. Hawa wali toa nje msaada ambao huenda inchi hiyo ya pana kwa kundi ya wapiganaji M 23.
Audio
Ajouter un commentaire