SANTE_DROIT MALADE MENTAUX
Kuheshimu haki za wale wenye kuteseka kama wagonjwa wa kiakili ni mada iliyo zungumzia katika kikao kilicho kusanya watetezi wa haki za binadamu na viongozi wamoja wa serkali pa Goma.Mwanasaikologia mmoja alierahisisha kikao hicho alifunua kua hesabu za sasa ni za kuhuzunikisha.Elie KAZAMBUA alihakikishiya wahuzuriyaji kwamba jimbo la Kivu kaskazini ilihorosesha kesi za watu elfu mbili mia tano wanakumbwa na marazi hayo ijapo kua miaka iliyopita idadi ya watu elfu moja haikufikiwa.Analinganisha hali hiyi na kupanda kwa kesi za mizozo zenye kuripotiwa humu jimboni.Mtaalamu huyu aalika wanamemba wa kijamii kuheshimu haki za wazazi pia marafiki wao wenye kuuguwa na marazi hayo.
Audio
Ajouter un commentaire