POLITIQUE/PRIMAIRE USN
Vital Kamerhe alichagukiwa kama mgombea pekee wa chama cha kisiasa Union Sacrée kwa uchaguzi wa prezidenti wa Bunge la Kitaifa. Alishinda dhidi ya Mboso Nkodia Puanga na Modeste Bahati Lukwebo. Hongera ni nyingi kutoka kwa wanasiasa wa chama hii muda ambapo wanasiasa wa upinzani wanadhani kuwa chaguo hii ni kama kupangiliya kuanguka kwa nchi. Kwa upande wa wachambuzi huru wa masuala ya kisiasa ni vema kuwa na matumaini.
Audio
Ajouter un commentaire