POLITIQUE_ELECTIONS SENATORIALES
Tume Uhuru ya Uchaguzi itaandaa uchaguzi wa maseneta hata katika majimbo yaliyo chini ya hali ya kuzingirwa kijeshi. Uamuzi huo unatokana na waraka wa Ceni wa Machi tarehe 20, 2024 unaowaagiza makatibu watendaji wa Kivu Kaskazini na Maindombe kufungua ofisi hizo haraka kwa ajili ya kushughulikia na kupokea wagombeya. Uamuzi ambao unawashangaza wachambuzi wa mambo ya kisiasa huko Kivu Kaskazini.
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire