invite_swahili

Soumis par derick le mer 30/11/2022 - 07:12

Société _ NYIRAGONGO

Ijapokua mbinu za ki siasa zinaeo endeshwa na ukanda wa maziwa makuu, pia na viongozi wa serkali ya Congo ili ku rekebisha usalama katika mitaa ya Rutshuru na Nyiragongo, idadi ya wa hami wa vita ya endelea ku panda katika kembi ya Kanyaruchinya. Muda ambapo siku si nyingi, ili sikika kwamba wana hesabiwa kwa karibuni jamaa elfu 35 , kwa sasa wame fikia jamaa elfu 38 mia 4 tisini na moja. Hesabu hizi zime tolewa na katibu wa kamati ya wa hami hawa wa vita punde ali zungumuza na redio Pole Fm ambayo ime hamisha kwa muda studio yake hadi hapa mtaani Nyiragongo. Maombi Gilbert ana funua pia kwamba tokea mwanzo wa mwezi huu wa Novemba, wa hami wa vita 20 tayari wame fariki; wengi kati yao  ikiwa ni watoto, pia wakongwe, na kisa cha hivi karibuni kili tukia siku ya pili, pamoja naku fariki kwa watoto tatu sababu ya njaa ; pia sababu ya baridi. Mbalimbali na hayo, Maombi Gilbert ana toa nje usalama mdogo unao kumba wa hami wa vita, hasa ku fwatana na mituto ya risasi usiku.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.